WIKLIF PHINUS TUARIRA, Ni muandishi na mwanzilishi wa Wiki Books Publishers, wachapishaji wa vitabu vya kiroho na afya. Kando na uandishi WIKLIF PHINUS TUARIRA ni mwalimu wa masomo ya Fizikia na Kemia. vitabu pata hapa

Usizini


Tangu enzi za kale dhambi imekuwa na matokeo hasi kwa mwanadamu, lakini ipo dhambi moja ambayo imeacha maumivu yasiyofutika, laana, mikosi na majuto miongoni mwa watu nayo si nyingine bali ni ZINAA.




 Tangu enzi za kale dhambi imekuwa na matokeo hasi kwa mwanadamu, lakini ipo dhambi moja ambayo imeacha maumivu yasiyofutika, laana, mikosi na majuto miongoni mwa watu nayo si nyingine bali ni ZINAA.


Leo hii ndoa nyingi zinavunjika bila kukosa sababu, maendeleo binafsi yamekuwa magumu kila linalofanyika halifanikiwi, watoto wanazaliwa na wanakua wakirithi tabia chafu, hayo yote na mengineyo yasiyofahamika kwa macho na akili za kibinadamu kwa asilimia nyingi yanasababishwa na ZINAA. 


Utafiti mpya uliofanywa na Chuo kikuu cha Seatle kwa kushirikiana na taasisi ya Fred Hutchinson Cancer Research Center umeonyesha kuwa ubongo wa mwanamke una homoni inayoweza kubeba vinasaba vya mwanaume yoyote atakayelala nae kitaalamu inajulikana kama "male microchimerism" vinasaba hivi ni tofauti na vile vinavyotengeneza sifa ya mwanamke "common known DNA" .


Hivyo mwanamke akilala na mwanaume yeyote taarifa za huyo mwanamume zitahifadhiwa.  Wanasayansi wanakubalia kuwa kuna njia nne tu ambazo zinaweza kuthibitisha uwepo wa vinasaba vya mwanaume katika ubongo wa mwanamke njia hizo ni;


1. Kwa kutoa mimba,

2. Kuharibika kwa mimba ya mapacha wa kiume,

3. Kuwa na mzao wa kiume wa kwanza ambaye vinasaba vyake vinaweza kuhamishiwa kwa ndugu zake watakaozaliwa baadae,

4. Kufanya mapenzi.


Utafiti unaonyesha kuwa takribani asilimia 63 ya uwepo wa vinasaba vya mwanaume katika ubongo wa mwanamke ni kupitia kufanya mapenzi. 


Utafiti unasema mbegu ya kiume inapoingia kwenye njia ya uzazi wa mwanamke inasafirishwa kwenye damu, ajabu zaidi kwa wale wanaofanya mapenzi kupitia mdomo (oral sex) mbegu hizi za mwanaume hupita mdomoni na kwenda kwenye tundu za pua, nyuma ya macho na mpaka sehemu ya ndani ya sikio kisha huhifadhiwa kwenye ubongo na uti wa mgongo  na huwa sehemu ya mwili milele (hata utakapokufa). Hivyo basi mwanamke huwa na taarifa za kila mwanaume aliyelala nae katika maisha yake. Cha kushangaza zaidi utafiti umeonyesha kuwa kwa kila mimba atakayotoa mwanamke taarifa zake zinahifadhiwa ikiwemo idadi ya mimba alizotoa.


Kupitia kitabu cha USIZINI utajifunza athari za zinaa katika mwili na zaidi katika ulimwengu wa roho, katika maisha binafsi, kiukoo na kijamii lakini pia njia za kuepuka zinaa, kuvunja maagano yaliyowekwa baada ya kufanya zinaa na toba iletayo ondoleo la dhambi ya uzinzi. 

Bei: 5000/- (softcopy)




You can purchase our books via:  

1. MOBILE MONEY  

AIRTEL MONEY - 0683 856 615  
MIXX BY YAS - 0774 018 392  
M-PESA - 0792 969 026  
HALO PESA - 0621 142 591  
AZAM PESA - 1621 142 591  

2. BANK ACCOUNTS  

NMB - 20310118478  
SELCOM MICROFANCE BANK - 55251 00459 503




Post a Comment

 


Wiki book publishers Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...