WIKLIF PHINUS TUARIRA, Ni muandishi na mwanzilishi wa Wiki Books Publishers, wachapishaji wa vitabu vya kiroho na afya. Kando na uandishi WIKLIF PHINUS TUARIRA ni mwalimu wa masomo ya Fizikia na Kemia. vitabu pata hapa

Kanuni 8 za Afya

 

Kanuni 8 za Afya



Wakati mmoja Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Alphabet (kampuni mama ya Google , YouTube  nk) Sundar Pichai aliwahi kunukuliwa akitoa risala fupi ya sekunde sitini akisema; 


"Kama maisha yangechukuliwa mfano wa mtu anayerusha matufe matano hewani,manne yaliyoundwa kwa udongo na moja lililotengenezwa kwa mpira ,kiasi cha kwamba anatakiwa ajitahidi matufe hayo yasianguke yakagusa ardhini,na ikiwa matufe hayo yakaandikwa na kupewa majina "Kazi,Afya,Familia,Nafsi,Uhusiano na ndugu", basi isingemchukua mtu muda kutambua kuwa tufe lililotengenezwa kwa mpira ni kazi ,kwasababu kwa ikiwa kwa bahati mbaya likitua ardhini litadunda na kurudi tena hewani kwakuwa ni rahisi kubadilisha kazi lakini yale matufe mengine yakitua ardhini kwa namna yoyote yataharibika ama kuvunjika na hayawezi kuundwa kurudi kama zamani ,ndivyo ilivyo juu ya afya ,familia ,nafsi na uhusiano na ndugu. Hivyo basi lazima tuwe makini na yale tunayoyatafuta ama kuhangaikia"


Afya ni kiungo muhimu katika maisha, hakuna jambo lolote linaloweza kukamilishwa na mtu  hapa duniani kama afya yake ni mbovu. Lakini njia sahihi ipo, nayo ni ipi ?

Bei: 4000/- (softcopy)



You can purchase our books via:  

1. MOBILE MONEY  

AIRTEL MONEY - 0683 856 615  
MIXX BY YAS - 0774 018 392  
M-PESA - 0792 969 026  
HALO PESA - 0621 142 591  
AZAM PESA - 1621 142 591  

2. BANK ACCOUNTS  

NMB - 20310118478  
SELCOM MICROFANCE BANK - 55251 00459 503


Post a Comment

 


Wiki book publishers Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...