WIKLIF PHINUS TUARIRA, Ni muandishi na mwanzilishi wa Wiki Books Publishers, wachapishaji wa vitabu vya kiroho na afya. Kando na uandishi WIKLIF PHINUS TUARIRA ni mwalimu wa masomo ya Fizikia na Kemia. vitabu pata hapa

Malkia wa Sheba

 

Malkia wa Sheba




Malkia wa Sheba alifunga safari hadi Yerusalemu kwenda kujidhirishia hekima ya Mfalme Sulemani ambayo aliisikia kutoka kwa wafalme wengi, hivyo basi aliandaa maswali yenye mafumbo magumu ili amjaribu na kwa hekima Mfalme Sulemani alimfumbulia maswali yake yote.


Kitabu hiki kimekusanya maswali hayo ya malkia kwa Mfalme Sulemani kutoka kwenye Biblia, Midrash Mishlei  (Ufafanuzi wa Biblia ya kiyahudi) na Hadithi za Michael msyria aliyekuwa kuhani wa kanisa la orthodox mwaka 1166 hadi 1199.

Bei: 3000/- (softcopy)



You can purchase our books via:  

1. MOBILE MONEY  

AIRTEL MONEY - 0683 856 615  
MIXX BY YAS - 0774 018 392  
M-PESA - 0792 969 026  
HALO PESA - 0621 142 591  
AZAM PESA - 1621 142 591  

2. BANK ACCOUNTS  

NMB - 20310118478  
SELCOM MICROFANCE BANK - 55251 00459 503





Post a Comment

 


Wiki book publishers Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...