WIKLIF PHINUS TUARIRA, Ni muandishi na mwanzilishi wa Wiki Books Publishers, wachapishaji wa vitabu vya kiroho na afya. Kando na uandishi WIKLIF PHINUS TUARIRA ni mwalimu wa masomo ya Fizikia na Kemia. vitabu pata hapa

Hekima za Mfalme sulemani

 


Hekima za Mfalme sulemani



Wakati ubongo ukiwa kama mji mkuu kwa kuratibu mambo yote ya mwili, tumbo kama mji wa kibiashara kwa kufanya manunuzi ya kumeng'enya chakula, damu ikiwa kama wizara ya uchukuzi, Ulimi unasimama kuwa msemaji mkuu wa serikali ya mwili. Ni kiungo kidogo chenye nguvu ya kutafsiri ulivyo, unavyofikiri, unavyowaza na namna maisha yako yalivyo. Uwezo wa kutumia ulimi katika mazungumzo na kuongea ni moja ya ujuzi ambao watu wanaudharau. Wakati mmoja aliyekuwa mtendaji mkuu na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya PepsiCo Indra Nooyi aliwahi kunukuliwa akisema; "huwezi kuwekeza fedha kwenye mazungumzo" hapa alimaanisha kuwa mazungumzo ni ujuzi ambao unaweza kufanya kazi mahali ambapo fedha isingeweza kutumika. Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Margaret Thatcher aliwahi kumuajiri mtu  wa lugha ya  katika ofisi yake ili aweze kumsaidia kuongeza ujuzi wake katika mazungumzo.


Unakumbuka jinsi Waziri Mkuu wa uingereza Winston Churchill alivyowashawishi waingereza kuelekea vita vya pili vya dunia kwa hotuba? Unaukumbuka uwezo wa Mwalimu Julius K Nyerere kutoa hotuba matata zenye kuteka hisia za wasikilizaji? Unakumbuka hotuba za redioni za  Franklin Delano Roosevelt katika kuikoa Marekani dhidi ya anguko la kiuchumi zilizofanya kazi na kumfanya awe raisi pekee aliyeshika mihula minne ya uraisi wa Marekani? Unaukumbuka uwezo wa Steve Jobs kuelezea bidhaa za apple kwenye majukwaa "Product Presentations "? Unaikumbuka ile presentation yake ya Computer Apple Macintosh ilivyopelekea mauzo makubwa ?, Unawakumbuka Martin Luther King, Malcom X? Unakumbuka uweza wa Yesu Kristo katika mafundisho yake kukusanya watu wengi wamsikilize?


 Yote hayo na mengineyo ya mfano wa hayo yameelezewa katika kitabu cha HEKIMA ZA MFALME SULEMANI.

Bei: 4000/-







You can purchase our books via:  

1. MOBILE MONEY  

AIRTEL MONEY - 0683 856 615  
MIXX BY YAS - 0774 018 392  
M-PESA - 0792 969 026  
HALO PESA - 0621 142 591  
AZAM PESA - 1621 142 591  

2. BANK ACCOUNTS  

NMB - 20310118478  
SELCOM MICROFANCE BANK - 55251 00459 503




Post a Comment

 


Wiki book publishers Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...