WIKLIF PHINUS TUARIRA, Ni muandishi na mwanzilishi wa Wiki Books Publishers, wachapishaji wa vitabu vya kiroho na afya. Kando na uandishi WIKLIF PHINUS TUARIRA ni mwalimu wa masomo ya Fizikia na Kemia. vitabu pata hapa

 


Nguvu ya Zaburi ya 23

 


Nguvu ya Zaburi ya 23




"Usiku huu, naomba maombi yako kwa wote wanaohuzunika, kwa watoto ambao ulimwengu wao umevunjika, kwa wote ambao hisia zao za usalama zimefadhaishwa. Naomba wapate faraja kutoka kwa nguvu kubwa kuliko sisi wote, iliyotamkwa kupitia miaka katika Zaburi 23: "Hata nikitembea kati ya bonde la kivuli cha mauti, sitaogopa mabaya, kwa maana Wewe u pamoja nami.", ni maneno ya kutia moyo yaliyosemwa na raisi wa 43 wa marekani George W Bush baada ya kutokea tukio tata la septemba 11, 2001. 


Zaburi 23 ni moja kati ya zaburi maarufu inayojulikana na kukaririwa na watu wengi sana ikiwemo watoto. Imekuwa ikifundishwa kwa miaka mingi makanisani kama moja ya zaburi zenye kutia moyo na kuleta amani kwa anayepitia magumu au mambo mazito. 


Nguvu ya Zaburi ya 23 ni uzoefu wa maisha ya uchungaji wa mfalme daudi akihusianisha na nguvu ya Mungu katika kuweza kuokoa na kubariki watu wote wanaomuamini.

Bei: 2000/- (softcopy)


You can purchase our books via:  

1. MOBILE MONEY  

AIRTEL MONEY - 0683 856 615  
MIXX BY YAS - 0774 018 392  
M-PESA - 0792 969 026  
HALO PESA - 0621 142 591  
AZAM PESA - 1621 142 591  

2. BANK ACCOUNTS  

NMB - 20310118478  
SELCOM MICROFANCE BANK - 55251 00459 503




Post a Comment

 


Wiki book publishers Welcome to WhatsApp chat
Howdy! How can we help you today?
Type here...