Malkia wa Sheba alifunga safari hadi Yerusalemu kwenda kujidhirishia hekima ya Mfalme Sulemani ambayo aliisikia kutoka kwa wafalme wengi, hivyo basi aliandaa maswali yenye mafumbo magumu ili amjaribu na kwa hekima Mfalme Sulemani alimfumbulia maswali yake yote.
Kitabu hiki kimekusanya maswali hayo ya malkia kwa Mfalme Sulemani kutoka kwenye Biblia, Midrash Mishlei (Ufafanuzi wa Biblia ya kiyahudi) na Hadithi za Michael msyria aliyekuwa kuhani wa kanisa la orthodox mwaka 1166 hadi 1199.
Bei: 3000/- (softcopy)
You can purchase our books via:
1. MOBILE MONEY
AIRTEL MONEY - 0683 856 615
MIXX BY YAS - 0774 018 392
M-PESA - 0792 969 026
HALO PESA - 0621 142 591
AZAM PESA - 1621 142 591
2. BANK ACCOUNTS
NMB - 20310118478
SELCOM MICROFANCE BANK - 55251 00459 503

